Mtangazaji wa XXL ya Clouds FM Bdozen amezungumza baada ya kuhojiwa na AyoTV na millardayo.com kuhusu likizo yake aliyokuwa ametumia kutembelea nchi mbalimbali kama sehemu ya kuburudika, pamoja na hilo Dozen ametoa majibu haya kuhusu Ben Pol kufunga ndoa baada ya kukutana naye Dubai.