Msanii Gigy Money karudi tena na time hii ni kuhusu kuolewa ambapo ameelezea picha alizopiga na mwanaume na kisha kuziweka mtandaoni ambapo Gigy kasema kuwa mwanaume huyo kamchumbia Zanzibar na istoshe soon wanatarajia kufunga ndoa. Vipi kuhusu Mo J..?
BONYEZA PLAY HAPA CHINI MSIKILIZE GIGY MONEY ALIVYOFUNGUKA
EXCLUSIVE: SAMIRATHA ALIYEONEKANA KWA MGANGA KAFUNGUKA YOTE