Habari za Mastaa

Kassim Mganga ametuletea hii video mpya ‘Waubani’

on

NI Mkali kutokea Bongo Flevani, Kassim Mganga ambae time hii ametuletea hii video mpya ya wimbo wake uitwao Waubani.

Unaweza ukabonyeza play kuitazama hapa, kisha ukatuandikia chochote ili mkali huyo akipita asome ulichomwandikia.

FID Q AMTETEA STEVE NYERERE ADAI MWANA FA ALICHANGANYA MAMBO

 

 

Tupia Comments