AyoTV

VIDEO: Katarina kafunguka elimu yake mpaka kuwa mchekeshaji…..

on

Mchekeshaji maarufu bongo Katarina amezungumzia elimu yake ya kidato cha nne na watu kukubali kipaji chake cha kuchekesha na kuamua kuwa mchekeshaji rasmi, hii ni interview yake alipokutana na ripota wa millardayo.com & Ayo TV kueleza sababu za kuingia kwenye uchekeshaji.

Mimi naitwa Rosemary Masawe mimi nimezaliwa katika familia ya watoto watatu elimu yangu ni kidato cha nne, mwaka 2012 ndio nilianza rasmi safari yangu ya uigizaji nIliwahi kucheza tamthilia iliyokuwa ikiitwa Pembe nne’

‘Baada ya hapo nikaamua kufanya Stand comedy maana kila mtu alikuwa ananisikia kuwa kipaji ninacho cha uchekeshaji basi nikawa najirekodi kidogo kidogo mwisho wa siku watu wakanipa ushauri nikutane na Mc Pilipili’

Unaweza ukabonyeza play kuitazama hii video hapa uone anachokizungumza Katarina kuhusu elimu yake ya kidato cha nne mpaka uchekeshaji.

ULIIKOSA HII YA IDRIS SULTAN ALIVYOVUNJA WATU WAKE MBAVU BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments