Kim na Kanye wapo kwenye mapumziko ya kifamilia pamoja na mtoto wao North West huko Puerto Vallarta Mexico. Wakiwa huko paparazi mmoja amewapiga picha kutoka mbali wakiwa kwenye ufukwe wa bahari.
Camera ya paparazi yawanasa Kim Kardashian,Kanye West na mtoto wao wakijiachia beach

Leave a comment
Leave a comment