Ndugu na Jamaa wa aliyekua Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dickson Maimu na wenzake watano wanaokabiliwa na mashtaka 100 ikiwemo utakatishaji fedha Bil. 1.17 wameangua vilio Mahakamani Kisutu leo wakihoji kwanini kesi hiyo haijasomwa ktk Mahakama ya wazi ili wasikie.