Top Stories

PICHA 6: Rais Mstaafu JK na Mkewe wamewasili nyumbani kwa kina Ruge

on

Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Mkewe Mama Salma Kikwete wameshawasili nyumbani kwa Prof. Mutahaba kwa ajili ya kuungana na waombelezaji wengine ambao tayari wapo nyumbani hapo kwaajili ya kufarijiana.

MELODY ASHINDWA KUJIZUIA ATOKWA MACHOZI MSIBANI KWA RUGE

Soma na hizi

Tupia Comments