Habari za Mastaa

Alikiba na Mkewe Amina wapata mtoto wa kiume

By

on

Mwimbaji Alikiba amebahatika kupata mtoto wa kiume na mkewe Amina hii ni baada ya video clip kupostiwa kupitia ukurasa wa instagram wa Alikiba ikiwaonyesha watoto wakimpa hongera  kwa kumkaribisha mtoto mwingine wa kiume ndani ya familia.

Alikiba alifunguka kwa mara ya kwanza kuhusu Mke wake Amina kuwa na ujauzito katika Interview na Radio Jambo ya Kenya alipokwenda kwa ajili ya kutangaza kinywaji chake cha MOFAYA November mwaka jana 2018.

LOWASSA AMEZUNGUMZA KUHUSU MAREHEMU RUGE ‘ÁLIKUWA OFISINI KWANGU”

Soma na hizi

Tupia Comments