Moja ya Interview iliyofanya AyoTV ni ya Kijana mdogo Mtanzania Twalib Hussein Abdul ambaye ni miongoni mwa Bilionea wa Tanzania, Twalib anafanya biashara ya usafirishaji kwa kutumia malori ambapo anamiliki malori 100, katika biashara zake ameajiri vijana zaidi ya 200.
Twalib amezaliwa Tanzania na kukulia Mkoani Mwanza, elimu yake ameipata hapa nchini ya O’level na Adavnce, pia alipata scholrship ya kwenda kusoma Elimu ya Juu nchini Uingereza katika Chuo cha Oxford ambapo huko ndio alianza safari ya maisha yake ya kujiajiri. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama full interview.