Jumamosi September 26 2015 Viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam kutashuhudiwa Burudani ya nguvu, list ya mastaa watakaoikamilisha Burudani yote tayari imetajwa… kinachosubiriwa kwa sasa ni saa zikamilike alafu watu wa nguvu wakusanyike kuenjoy kwenye KiliFest !!
Kiwanja ni Leaders Club, kwenye list ya mastaa watakaotoa Burudani wako Mapacha Watatu, Maua, Ruby, Damian Soul, Vanessa Mdee, Ben Pol, Weusi, Fid Q, Isha Mashauzi na Shettah.
Ripota wa millardayo.com amepita viwanja vya Leaders Club na kukuta mambo yameiva.. maandalizi yamefikia hatua ya kuridhisha mpaka sasahivi na unaweza kucheki kwenye Pichaz jinsi hali ilivyo.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata, pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>YouTUBE