Video 8 za Watanzania zilizochezwa TraceURBAN & MTV BASE March 30 2016
Share
3 Min Read
SHARE
Ni jambo la kheri kujua ni kiasi gani Watanzania wanazichukua headlines kwenye Television za kimataifa ambazo miaka kadhaa iliyopita zilikua zikicheza tu kwa sana video za wasanii wa Nigeria na wasanii wa Afrika Kusini, sasa nimekusogezea video za watanzania zilizochezwa kwenye TV hizi kuanzia asubuhi mpaka usiku March 30 2016.
Sio kila Mtanzania anaweza kutazama TV hizi ambazo ziko kwenye ving’amuzi vya kulipia ila usihofie chochote kama TV haionyeshi hizi channel, kazi ya millardayo.com ni kuhakikisha hakuna kinachokupita kutokea pande zote.
Diamond Platnumz na AKA Make me Sing iliwekwa kwenye Youtube Feb 12, 2016 mpaka sasa imechukua views 2,467,280 na March 30 2016 ilichezwa kama Africa Fresh kupitia MTV Base.Navy Kenzo waliiachia hii Game waliyomshirikisha Vanessa Mdee kwenye Youtube July 24, 2015 mpaka sasa ina views zaidi ya 815,685.Vanessa Mdee aliiachia hii video ‘ Nobody But Me’ aliyomshirikisha K.O wa Afrika Kusini kwenye Youtube March 26, 2015 mpaka sasa ina views 1,138,666 na March 30, 2016 ilichezwa Trace TV Vanessa Mdee ameiachia ‘Niroge’ kwenye Youtube March 24, 2016 mpaka sasa imechukua views zaidi ya 197,341 pia March 30 2016 imechezwa kwenye kituo kikubwa chakimataifa Trace URBAN kama StarterBado ni single Harmonize kamshirikisha Diamond Platnumzna imewekwa kwenye Youtube Feb 29 2016 mpaka sasa imechukua views zaidi ya 2,152,148 na March 30 2016 imepata nafasi ya kuchezwa kama Best Of Spanking new kupitia MTV BaseJoh Makini ameiachia hii video ‘Nusu Nusu’ kwenye Youtube April 26, 2015 mpaka sasa imechukua views zaidi ya 458,333 na March 30 2016 ilipata nafasi ya kuchezwa MTV Base kwenye BaselineShetta ameiachia hii video ‘Shikorobo’ aliyomshirikisha Kcee wa Nigeria kwenye Youtube March 26, 2015 mpaka sasa imechukua views zaidi ya 666,166 na March 30 2016 ilichezwa kama Video Shuffle kwenye kituo kikubwa cha kimataifa MTV BaseVanessa Mdee ameiachia hii video ‘Never Ever’ kwenye Youtube October 11, 2015 mpaka sasa imechukua views zaidi ya634,119 na March 30 2016 ilichezwa Trace TV.
ULIKOSA KIPISI CHA MOVIE YA MATRON WA SHULE ALIYEMPENDA MWANAFUNZI WA SEKONDARI? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI…
https://www.youtube.com/watch?v=bFp4y3bgu0U
Unataka kutumiwaMSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTER FB YOUTUBE