AyoTV

Paul Makonda kaushtukia huu mchezo Kinondoni, maamuzi yake je? (+Video)

on

Dec 17 2015 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda aliuweka wazi mchezo wa kuiba Mamilioni uliochezwa kwenye ujenzi wa barabara za Kinondoni ambapo unaambiwa ni Bilioni 4 na milioni 900 zilipitishwa kujenga barabara sita ila kuna Bilioni 5 na milioni 700 ambayo imeongezewa juu, tazama zaidi maamuzi ya DC kwenye hii video hapa chini…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments