Karibu kuitazama part 4 ya Mtanzania Bori aliyezamia Ujerumani kwa kutumia boti, kutokana na ugumu wa maisha alioupata kabla ya kifika Ujerumani aliamua kujiingiza kwenye uuzaji wa dawa za kulevya aina ya ‘Cocaine’. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama kilichoendelea.
ULIPITWA NA PART 3? MISUKOSUKO MTANZANIA ALIEZAMIA UJERUMANI “NILIKUWA NIKIUZA COCAINE”