Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Salamu JPM alizomtumia Kenyatta kabla hatujaingia 2018
Share
Notification Show More
Latest News
Huyu hapa mbwa aliyevunja rekodi ya Guinness ya umri
February 3, 2023
TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Salamu JPM alizomtumia Kenyatta kabla hatujaingia 2018
Top Stories

Salamu JPM alizomtumia Kenyatta kabla hatujaingia 2018

January 1, 2018
Share
2 Min Read
SHARE

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ametuma salamu kwa jirani zetu wa Kenya na  kwa  Rais Uhuru Kenyatta za rambirambi  kufuatia ajali ya barabarani iliyosababisha vifo vya takribani watu 36.

Ajali hiyo ilitokea baada ya basi la abiria kugongana na lori katika barabara ya Nakuru – Eldoret nchini humo usiku wa kuamkia Desember 31, 2017.

Namnukuu President Magufuli ” “Nimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kutokea kwa ajali iliyosababisha ndugu zetu takribani 36 kupoteza maisha baada ya basi la abiria kugongana na lori,”

“Msiba huu umesababisha majonzi makubwa sio tu kwa ndugu zetu wa Kenya bali pia kwetu sote wana Jumuiya ya Afrika Mashariki, tumepoteza wapendwa wetu na nguvu kazi yetu.” – President JPM

“Kwa niaba ya Watanzania wote nakupa pole sana ndugu yangu Uhuru Kenyatta, Rais wa Jamhuri ya Kenya kwa msiba huu mkubwa ulioupata, nawapa pole wana familia wote waliowapoteza jamaa zao na pia nawapa pole wananchi wote wa Kenya.” – President JPM

“Naungana nanyi katika kipindi hiki kigumu cha majonzi, nawaombea majeruhi wote wa ajali hii wapone haraka na Marehemu wote wapumzishwe mahali pema peponi, Amina”. -President JPM

Hayo ndio maneno ya Rais Magufuli katika taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU Gerson Msigwa.

JPM alivyokutana na Kamati ya kukagua mali za CCM

JPM awasilisha taarifa ya mali zake na akaunti ya Benki Sekretarieti ya Maadili

https://youtu.be/_YynCepg9Jc

You Might Also Like

Huyu hapa mbwa aliyevunja rekodi ya Guinness ya umri

TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao

Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe

Bilioni 3.2 zatolewa kwa Wajasiriamali 16 wa Nishati safi ya kupikia

Maombi maalum Sudan Papa Francis afike salama

TAGGED: TZA HABARI
Millard Ayo January 1, 2018
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article BREAKING: Whatsapp imeacha kufanya kazi kwa Mataifa mbalimbali Duniani
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya TZ leo January 01,2018 Udaku, Michezo na Hardnews
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Huyu hapa mbwa aliyevunja rekodi ya Guinness ya umri
Top Stories February 3, 2023
TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
Top Stories February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023

February 3, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023

February 2, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 2, 2023

February 2, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 1, 2023

February 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?