Leo March 3, 2018 nakusogezea stori kutoka kwa Mbunge wa Mtama kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Nape Nnauye ambaye amekiri kuwa picha aliyokuwa akiiona inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha Wanafunzi wanasoma katika shule ya miti ndio picha iliyomsumbua.
“Siku moja nikiwa DSM kwenye mitandao ya kijamii niliona picha ya Wanafunzi wakiwa kwenye darasa la miti (mbavu za mbwa), iliwekwa kwenye mitandao ya kijamii, nilikuwa nasemwa mimi kwamba hii shule ipo katika Jimbo langu, nikaamua kufunga safari nikaja,” -Nape
“HAYA NDIO MAZINGIRA YALIYOTUMIKA KUFANYA UHALIFU” -POLISI DODOMA