Mix

Shabiki wa Simba kashinda mamilioni baada ya kubashiri game 12

on

Shabiki wa Simba kutoka Mpanda Robert Daniel amefanikiwa kuibuka mshindi wa Tsh milioni 42.5 ya Jackpot ya kampuni ya michezo ya kubaharisha ya Premier, hiyo ni baada ya kubashiri katika Jackpot ya Premier Bet ya Jumamosi ya March 9.

Hata hivyo Jackpot ya Premier Bet ilikuwa na dau la Tsh Milioni 85 lakini kutokana na washindi kuwa wawili waliokuwa wamebashiri game za Jackpot kwa ufasaha, hivyo wanalazimika kugawana na kila mmoja kupewa Tsh milioni 42.5 pamoja na mshindi mwenzake wa Dar es Salaam Flavian Msigala.

Robert Daniel ambaye ni shabiki wa Simba amekiri kuwa atazitumia pesa hizo kusomesha watoto wake na kujiimarisha zaidi katika kazi zake za kilimo na ufugaji, bado Jackpot mpya inaendelea kutoa fursa kwa watanzania mbalimbali kushinda.

Mashabiki wa Simba na Yanga waiongelea Simba VS AS Vita hapo kesho !!

Soma na hizi

Tupia Comments