fB insta twitter

Hii ni picha maarufu hivi sasa ya Kim Kardashian na Kanye West…ina likes zaidi ya laki 8.

on

1

Kutoka kwenye ukurasa wa instagram wa Kim Kardashian ame-post picha aliyopiga kwa camera ya mbele (selfie) wakiwa chumbani na Kanye West. Picha yenyewe inamuonyesha Kanye West akiwa amelala na status yake ya “Side chicks be like” ndio inaiongezea umaarufu. Hadi wakati post hii inaenda hewani, picha imepata likes zaidi ya laki 8. 

2

Unataka niwe nakutumia kila stori inayonifikia? niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta FB

Tupia Comments