Wakati wote mtu wako nafurahi kukusogezea vitu ambavyo vinaweza kukusaidia na kukurahisishia… kama leo nimepita Laxspacer Internatinal ambayo ni kampuni ya Auction and Debt collection yenye ofisi zake Temesa Yard Keko Road.
Kuna mnada wa ofisi kwa vitu kama furniture na stationaries utakaofanyika tarehe 30/1/2016 ila unaweza kupita kutizama kuanzia tarehe 28 na 29 /01/2016 kuanzia muda wa Saa 4 asubuhi hadi saa 11 jioni, ukipenda kuwapigia ili upate details zaidi unaweza kuwapigia simu kwenye hizi namba >>> 0714 380 101 au 0713 346 441.