Kulikuwa na mabadiliko ya barabara za kuingia katikati ya Jiji wiki hii, eneo la Jangwani lilifungwa ili kupisha Ujenzi wa barabara za mabasi ya mwendokasi.
Nimepita maeneo ya Kariakoo na kuona hali ilivyo, ujenzi unaendelea.. mvua ikanyesha kwa muda mfupi lakini bado mishe mishe za watu zinaendelea kama kawaida tu yani.
Kaa karibu na millardayo.com nitakachokipata nitakusogezea hapa muda wowote kuanzia sasa, unaweza kujiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook