Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kocha msaidizi wa Chelsea kaadhibiwa kisa Mourinho
Share
Notification Show More
Latest News
Iringa :ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7
September 27, 2023
Ukraine yawashikilia wanaume 2 wanaotuhumiwa kuisaidia Urusi katika mgomo wa Kiev
September 27, 2023
Nigeria: Polisi wamemkamata mwizi wa simu za mkononi akiwa na simu 890 alizoziiba.
September 27, 2023
Mwanamke aliyeshinda taji la Miss Zimbabwe azua mzozo wa ubaguzi wa rangi
September 27, 2023
Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok
September 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Kocha msaidizi wa Chelsea kaadhibiwa kisa Mourinho
Sports

Kocha msaidizi wa Chelsea kaadhibiwa kisa Mourinho

October 31, 2018
Share
1 Min Read
SHARE

Chama cha soka England FA kimetangaza kumuadhibu kocha msaidizi wa club ya Chelsea Marco Ianni kwa kitendo chake cha kushangilia goli la Chelsea mbele ya benchi la ufundi la Man United wakati wa timu hizo zililipokutana.

FA imefikia maamuzi ya kumpiga faini Marco Ianni ya pound 6000 ambazo ni zaidi ya Tsh Milioni 22 kutokana na kitendo hicho cha kushangilia goli la Chelsea la kusawazisha mbele ya Jose Mourinho.

Chelsea na Man United walikutana October 20 2018 katika uwanja wa Stamford Bridge  ambapo Chelsea walisawazisha goli dakika za nyongeza kupitia kwa Barkley na kufanya matokeo 2-2, kitu ambacho kilimfanya Ianni ashangilie mbele ya Mourinho na kutafsiriwa kama kafanya kejeli.

Da!!! Takwimu za Samatta Ligi Kuu Ubelgiji msimu huu ni hatari

You Might Also Like

Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi

Osimhen afuta picha zote za Napoli kwenye Instagram yake

Barcelona wanataka kumsajili Ndidi mwaka 2024

Chelsea wanafuatilia kwa karibu mzozo kati ya Victor Osimhen na Napoli

Thomas Frank amejibu maswali kuhusu hatma ya Ivan Toney huko Brentford…

TAGGED: soka ulaya
Rama Mwelondo TZA October 31, 2018
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kanye West ajivua gamba ishu za kisiasa USA, anaamini kuwa alitumika
Next Article Mtanzania na Mzungu wa kwanza kupanda Mlima Kilimanjaro, hawakufika Kileleni (+video)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Iringa :ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7
Top Stories September 27, 2023
Ukraine yawashikilia wanaume 2 wanaotuhumiwa kuisaidia Urusi katika mgomo wa Kiev
Top Stories September 27, 2023
Nigeria: Polisi wamemkamata mwizi wa simu za mkononi akiwa na simu 890 alizoziiba.
Top Stories September 27, 2023
Mwanamke aliyeshinda taji la Miss Zimbabwe azua mzozo wa ubaguzi wa rangi
Entertainment September 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Ukraine yawashikilia wanaume 2 wanaotuhumiwa kuisaidia Urusi katika mgomo wa Kiev

September 27, 2023
Top Stories

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok

September 27, 2023
Top Stories

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake

September 27, 2023
Sports

Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi

September 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?