Top Stories

Mtanzania na Mzungu wa kwanza kupanda Mlima Kilimanjaro, hawakufika Kileleni (+video)

on

Camera ya AyoTV na millardayo.com imefika Mkoani Kilimanjaro nakifika katika Mlima Kilimanjaro ambapo imekutana na Simon Joseph Urio ambaye kazi ya ni kupandisha wageni mlimani ambapo ana uzoefu wa miaka mitano.

Simon anatupa historia ya Guide wa kwanza kupanda Mlima Kilimanjaro ambaye ni Mtanzania anaitwa Yohane Lauwo ambaye alimpandisha mzungu wa kwanza Mlimani mwaka 1889 akiwa na miaka 18.

Rebecca Gyumi aongelea kilichompa Tuzo ya UN “Nilieshinda nae ameshafariki”

 

Soma na hizi

Tupia Comments