Ni Mkali kutokea lebo ya Konde Gang, Ibraah ambae time hii ametuletea video mpya ya wimbo wake uitwao Sitosema.
Unaweza ukabonyeza play kuitazama kisha usisahau kusema lolote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia.