Rais Samia amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa wapya saba na kuwahamisha vituo vya kazi Ma-RAS 10 na wengine 9 kubakia kwenye vituo vyao.
Aliyekuwa RAS Mwanza Ngusa Samike amehamishiwa kuwa RAS wa Lindi, kwa chini hapa nimekuwekea list yote ya walioteuliwa katika nafasi ya Ukatibu