Habari za Mastaa

Mchekeshaji wa Kenya Sammy Kioko afunguka anachotamani kwa Rais Magufuli (+video)

on

Tunayo stori kutokea kwa mmoja kati ya Mchekeshaji anayefanya vizuri kutokea nchini Kenya, Sammy Kioko ambapo ameweza kuzungumza na Ayo Tv na Millardayo.com kuhusu safari yake ya uchekeshaji.

Moja kati ya mambo aliyoyazungumza Kioko ni jinsi anavyotamani kuchekesha hadi aitwe Ikulu na Rais wa Tanzania John Magufuli.

RAIS MAGUFULI KUKABIDHIWA TUZO YA HIFADHI BORA YA SERENGETI,KIGWANGALA AANZA KUIPOKEA

Soma na hizi

Tupia Comments