Jengo la iliyokuwa klabu Bilicanas na ofisi za Free Media inayomiliki gazeti la Tanzania Daima zinazomilikiwa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ‘CHADEMA’, Freeman Mbowe limeanza kubomolewa.
Ubomoaji huo ulioanza jana January 6 2016 na unafanyika wakati Mbowe ameingia katika mgogoro na NHC baada ya kampuni ya udalali ya Poster and General Traders kumtolea vyombo nje mwanzoni mwa September, mwaka jana kwa kudaiwa Sh bilioni 1.2 ambayo ni deni la pango. Nimekuwekea picha 11 za jengo hilo lilivyoanza kubomolewa.
VIDEO: NHC walivyotoa mali za Freeman Mbowe nje kisa deni la Bilioni, Bonyeza play hapa chini kutazama