Habari za Mastaa

Sikiliza wimbo mpya wa Temba na Kassim Mganga Lava lava

By

on

tembaHuu ni wimbo mpya ya Temba na Kassim Mganga ni wimbo ambao umewakutanisha tena baada ya ule wimbo wa Chama kubwa wa Tip Top na Tmk wanaume family,mara nyingi imezoeleka Temba akichana lakini kwenye huu wimbo kaimba.

kassim

Bonyeza play kusikiliza na pia waweza kudownload.

Tupia Comments