Wakati kesho kukitarajiwa kufanyika uchaguzi wa Rais wa chama cha wanasheria wa Tanganyika, leo March 17 2017 wanasheria hao wamekuatana Arusha kwenye mkutano mkuu wa chama cha wanasheria hao.
Moja ya yaliyojitokeza ni pamoja na aliyekuwa mgombea wa Urais wa TLS, Mwanasheria Lawrance Masha kutangaza kujiondoa kuwania Urais huo, amesema anamuunga mkono Tundu Lissu na kura zake apigiwe Tundu Lissu.
Mwanasheria Lawrance Masha ametangaza kujiondoa kuwania Urais wa TLS, amesema anamuunga mkono Tundu Lissu na kura zake apigiwe Tundu Lissu pic.twitter.com/UFisperwRn
— millardayo (@millardayo) March 17, 2017
VIDEO: Lissu alivyoingia kwenye mkutano wa wanasheria wakati mke wake akichangia hoja, Bonyeza play hapa chini