Premier Bet
TMDA Ad

Duniani

PICHA 7: Muonekano wa taxi zinazoruka zitakazozinduliwa Dubai

on

millardayo.com leo March 17, 2017 imekutana na hii inayoihusu Dubai kuja na mbinu mpya zaidi na ya kisasa kuhakikisha usafiri hautokuwa na kero tena kwa wakazi wake baada ya kutarajia kuzindua drones ziitwazo Ehang 184 ambazo zitatumika kama taxi ambazo hazitakuwa na dereva.

Drone hizo ambazo zitakuwa na uwezo wa kukaa mtu mmoja kila moja zimetengenezwa na Kampuni ya Ehang ya China na zitaanza kupakia abiria ifikapo July mwaka huu, kwa mujibu wa Mamlaka ya Barabara na Usafirishaji Dubai (RTA).

VIDEO: Uliikosa hii ya Prof Jay kutaka Diamond na Alikiba kuwa pamoja? Bonyeza play hapa chini kuitazama.

Soma na hizi

Tupia Comments