Michezo

Ligi Kuu Tanzania na Uingereza watafungua zawadi za Christmas kwa michezo 16 Dec 26 na 27 …

on

Ikiwa bado watu wapo katika shamrashamra za sikukuu ya Christmas, sio vibaya nikukupa taari za wapi ukafungulie zawadi zako za Christmas siku ya Jumamosi ya December 26 Boxing Day au hata Jumapili ya December 26.

Najua weekend itakuwa ndefu sana mtu wangu ila sio tatizo, naomba nikusogezee ratiba ya mechi kali za soka za Ligi Kuu Tanzania bara na Uingereza michezo ambayo itachezwa December 26 na 27.

vpl

Mechi za Ligi Kuu Tanzania bara zitachezwa saa 16:00 kwa saa za Afrika Mashariki.

bbbb

Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Uingereza za Jumamosi ya December 26 kwa saa za Afrika Mashariki

  • Stoke Vs Man Utd Saa 15:45
  • Aston Villa Vs West Ham Saa 18:00
  • Bournemouth Vs Crystal Palace Saa 18:00
  • Chelsea Vs Watford Saa 18:00
  • Liverpool Vs Leicester Saa 18:00
  • Man City Vs Sunderland Saa 18:00
  • Swansea Vs West Brom Saa 18:00
  • Tottenham Vs Norwich Saa 18:00
  • Newcastle Vs Everton Saa 20:30
  • Southampton Vs Arsenal Saa 22:45

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments