Stori za wasanii kushiriki kwenye kutengeneza video za utupu zimekuwa zikiongezeka mara kwa mara… mwaka 2007 tuliipata ya Kim Kadarshian na msanii wa R&B Ray J, badaae tukaipata ya mwanamieleka Hulk Hogan na nyingine zikafuata… na pengine time hii video ya namna hiyo inayomhusu Lil Wayne ipo njiani!
Kuna stori inasambaa kwenye mitandao muda huu kuhusu video ya utupu ya Lil Wayne, mtu asiyejulikana jina amekuwa akijaribu kuuza video hiyo ya Lil Wayne kwenye kampuni ambazo zinajihusisha na biashara za kuuza na kununua picha na video za utupu!
Website ya TMZ ya Marekani imeandika: >>> “Tunaambiwa kuwa kampuni hizi kubwa zimetafutwa na mtu mwenye hiyo video ambayo inamuonyesha Lil Wayne akiwa mtupu na soksi za miguuni tu huku wanawake wawili kwenye video hiyo wakifanya kila kitu… msemaji wa Lil Wayne amesema kama kuna video hiyo ya rapper huyo basi msanii huyo hakujua kama anarekodiwa, na wameahidi kumfikisha kwenye mikono ya Sheria kama video ikivuja!”. <<< TMZ.
Hata kama ikitokea kampuni yoyote kununua video hiyo, hawatoweza kufanya biashara wala kuisambaza video hiyo hadharani bila ridha ya Lil Wayne mwenyewe, kesi ambayo ipo tofauti kidogo na kesi ile ya Kim Kadarshian ya mwaka 2007 ambapo yeye alidai kuwa video yake ya utupu na msanii wa R&B Ray J ilivujishwa, kitendo ambacho kwa kipindi hicho kilimpatia Kim Kadarshian fidia zaidi ya dola milion 5 kitu kama Bilion 10 za Tanzania kwa sasa!
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata, pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> YouTUBE