Habari za Mastaa

Video ya utupu ya Lil Wayne itavujishwa? mwenyewe anasemaje juu ya hili !?

on

Stori za wasanii kushiriki kwenye kutengeneza video za utupu zimekuwa zikiongezeka mara kwa mara… mwaka 2007 tuliipata ya Kim Kadarshian na msanii wa R&B Ray J, badaae tukaipata ya mwanamieleka Hulk Hogan na nyingine zikafuata… na pengine time hii video ya namna hiyo inayomhusu Lil Wayne ipo njiani!

weezy2

Kuna stori inasambaa kwenye mitandao muda huu kuhusu video ya utupu ya Lil Wayne, mtu asiyejulikana jina amekuwa akijaribu kuuza video hiyo ya Lil Wayne kwenye kampuni ambazo zinajihusisha na biashara za kuuza na kununua picha na video za utupu!

LOS ANGELES, CA - JANUARY 31: Rappers Lil Wayne (L) and Drake perform onstage during the 52nd Annual GRAMMY Awards held at Staples Center on January 31, 2010 in Los Angeles, California. (Photo by Kevin Winter/Getty Images)

Lil Wayne & Drake.

Website ya TMZ ya Marekani imeandika: >>> “Tunaambiwa kuwa kampuni hizi kubwa zimetafutwa na mtu mwenye hiyo video ambayo inamuonyesha Lil Wayne akiwa mtupu na soksi za miguuni tu huku wanawake wawili kwenye video hiyo wakifanya kila kitu… msemaji wa Lil Wayne amesema kama kuna video hiyo ya rapper huyo basi msanii huyo hakujua kama anarekodiwa, na wameahidi kumfikisha kwenye mikono ya Sheria kama video ikivuja!”. <<< TMZ.

LOS ANGELES, CA - JUNE 28: Rap Artists Lil Wayne (L) and Birdman perform onstage during the 2009 BET Awards held at the Shrine Auditorium on June 28, 2009 in Los Angeles, California. (Photo by Kevin Winter/Getty Images)

Lil Wayne & Birdman.

Hata kama ikitokea kampuni yoyote kununua video hiyo, hawatoweza kufanya biashara wala kuisambaza video hiyo hadharani bila ridha ya Lil Wayne mwenyewe, kesi ambayo ipo tofauti kidogo na kesi ile ya Kim Kadarshian ya mwaka 2007 ambapo yeye alidai kuwa video yake ya utupu na msanii wa R&B Ray J ilivujishwa, kitendo ambacho kwa kipindi hicho kilimpatia Kim Kadarshian fidia zaidi ya dola milion 5 kitu kama Bilion 10 za Tanzania kwa sasa!

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata, pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments