Leo September 21 2017 Serikali ya Tanzania kupitia waziri wa afya, Ummy Mwalimu imesema kuwa ipo tayari kugharamia matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ambaye yupo kwenye matibabu Nairobi baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana . Sasa baada ya kauli hiyo Ayo TV na millardayo.com zimempata Msemaji wa CHADEMA, Tumaini Makene ambapo amezungumzia ishu hiyo
‘Tunaitaka Serikali ijikite kwenye kutafuta ufumbuzi wa suala la Lissu na sisi tumeshangazwa kweli kwani karibia zaidi ya wiki tangu tufanye press conference ya mwisho ambapo tulionyesha mtirirko wa masuala menginsana ambayo tunahisi yamepelekea Tundu Lissu kushambuliwa, Tangu wakati huo Serikali haijawahi kutoa tamko hata kwa mstari mmoja“
Ulikosa hii ya Jaji Mkuu kuzungumzia tukio la Tundu Lissu, Bonyeza play hapa chini kutazama