Habari za Mastaa

Kitu kilichomuunganisha Diamond na Mastaa wakubwa Marekani

on

Baada ya kuchaguliwa Kama Balozi wa Kinywaji cha Bellaire, Diamond Platnumz kwa sasa anaungana na mastaa wakubwa Marekani katika kuwa mabalozi wa Kinywaji hicho. Mastaa hao wa Hollywood ni pamoja na DJ Khaleed, Rick Ross na French Montana.

Ulipitwa na hii? Staa mwingine iliyemtokea ishu kama ya Diamond Platnumz

Hii je? DIAMOND KUZAA NA HAMISA! Mtoto kampost baba yake

Soma na hizi

Tupia Comments