Tayari Helikopta iliyobeba mwili wa Mstaafu Benjamin Mkapa imefika Masasi Mkoani Mtwara na sasa safari ya kuelekea Kijiji cha Lupaso ambapo ndio atazikwa inaanza. tazama LIVE kwa kubonyeza PLAY hapa chini.