Habari za Mastaa

Khadija Kopa, Diamond, Makomando, Walter Chilambo kwenye stage ya Lowassa Arusha

on

DSC_0300

Diamond

MAY 30 2015 Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha ilikuwa siku ambayo Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa alitangaza rasmi kwamba ataomba kibali cha CCM ili agombee Urais wa TZ mwaka huu.

Baada ya hapo watu wakaigeukia stage ya burudani ambapo ilikuwepo list pia ya mastaa wa Bongo Fleva ambao walipiga show ya nguvu.

DSC_0037

Khadija Kopa

DSC_0037

DSC_0058

Walter Chilambo

DSC_0069

DSC_0072

Huyu jamaa inaonekana aliwaletea shida watu wa Usalama wakawa nae hapa.

DSC_0073

DSC_0085

Makomando

DSC_0089

DSC_0121

Tundaman

DSC_0128

DSC_0135

Wengine nao hawakua mbali.. wenyewe walienjoy show kwa hili pozi juu ya gorofa mtaa wa pembeni ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

DSC_0307

Diamond Platnumz na timu ya dancers wake kwenye stage

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments