Mix

VIDEO: Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni May 11, 2017

on

Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeendelea leo May 11, 2017 mjini Dodoma kwa kipindi cha Maswali na Majibu ambapo limeanza kwa Maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu. Ni Kikao cha Ishirini na Mbili katika Mkutano wa Saba.

Nimekuwekea full video hapa, unaweza kubonyeza PLAY kutazama…

“Nilikua siwezi kusema, sasa nimetoka kwenye uwaziri” – Charles Kitwanga.

Soma na hizi

Tupia Comments