Michezo

Live:Mashabiki wa Simba SC wamkingia kifua Mo Dewji

on

Ni Agosti 5, 2021 ambapo Mashabiki wa Simba Sport Club wamekutana na Waandishi wa Habari kuzungumza yao ya moyoni kwa yale yanayoendelea mitandaoni kuhusu Mo Dewji.
“Sisi tuko hapa kwaajili ya ku support Simba SC na tuko hapa kwaajili ya kum support Mo Dewji na kwa miaka hii minne tumeona Simba ikiwa inafanya vizuri tumeona Simba ikitwaa makombe kwakweli sisi tuko nyuma ya Mo Dewji na sisi Mashabiki tunataka kumtia Moyo Mashabiki sisi ndio wenye timu na ndio tuko nyuma yake tunamsupport’-Shabiki wa Simba SC
‘Na timu yetu imeweza kufanya vizuri kwasababu ya uwekezaji wa Mo Dewji na sisi hatutaki kurudi nyuma kule tulikotoka kwani tuliteseka sana na tunachotaka ni mafanikio katika timu yetu- Shabiki wa Simba SC

MBOTO: BAADA YA SARE YA YANGA, MAKALI TULIKUWA NAYO YANGA KAMA ALIVYOTAKA KUSEMA MANARA

 

Soma na hizi

Tupia Comments