Habari za Mastaa

Rude Boy aachia rasmi album yake mpya “Rudy Kill us” isikilize hapa

on

Ni Staa kutokea  nchini Nigeria , Rudeboy ambae leo Agosti 5, 2021 anamiliki Vichwa vya Habari nchini kwao baada ya kuachia album yake mpya iitwayo Rudy Kill us.

Staa huyo ameachia album hiyo yenye nyimbo zisizopungua 11, unaweza ukabonyeza kusikiliza hapa

JEURI YA PESA.. JAMAA ANALIPWA ZAIDI YA MILIONI 12 KWA SIKU KUMSHIKIA MWAMVULI STAA HUYU WA MAREKANI

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments