Habari za Mastaa

PICHA: Yaliyojiri kwenye uzinduzi wa Movie ya Mama ya Aunty Ezekiel ‘May 13,2018

on

Usiku wa May 13, 2018 Mliman City DSM kulikuwa na uzinduzi wa movie mpya ya Aunty Ezekiel na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo mastaa wa Bongo kama Hamissa Mobeto, Martin kadinda, Kajala Masanja, Snura Mushi na wengine.

Elizabeth Michael ‘LULU’ ameachiwa kutoka gerezani

Wema na Steve Nyerere baada ya Lulu kuachiwa ‘Asante JPM’

Soma na hizi