Leo August 22, 2017 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Mashahidi wawili akiwemo Naibu Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Ofisa wa Polisi, Ramadhan Kingai wameieleza Mahakama hiyo jinsi Mfanyabiashara Yusuf Manji alivyopelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali na kupimwa mkojo.
PLAY kwenye video hii kutazama kila kitu…
Kilichoendelea baada ya Mahakama kuhamia Hospitali kumsomea mashtaka Manji…