Pierre Liquid, Mtanzania anaeongoza kwa kutazama mitandaoni kwa sasa kutokana na matukio yake ya kuchekesha au kufurahisha Watu, leo amefungua ukurasa mpya kwenye kitabu cha matukio yake baada ya kutinga Bungeni Dodoma na kukutana na Spika Job Ndugai na Naibu Spika wake Dr. Tulia, watazame walivyoangua vicheko kwenye hii video hapa chini.
EXCLUSIVE VIDEO: “SIWEZI KUMUACHA MC PILIPILI HATA NIKIMFUMANIA NA MWANAMKE KITANDANI” – PHILOMENA
MC PILIPILI: “SIKUWAHI KUPATA MZURI KAMA HUYU, NI SHETANI, NIMEZOEA KUZINGULIWA KWENYE MAPENZI”