AyoTV

VIDEO: ‘Mnaofikiri kupambana na Rais, mtasubiri hadi 2025’-Lucy Mayenga

on

Mbunge wa viti maalum CCM Lucy Mayenga alikuwa ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kuchangia mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na bajeti ya ofisi ya Waziri mkuu kwa mwaka 2017/2018 ambapo katika mchango wake alionesha kuchukizwa na baadhi ya watu wanaoikosoa Serikali inashindwa kutekeleza majukumu yake.

Wakati naingia hapa Bungeni kuna wabunge nilikuwa nawaona watu wazima na unawapa shikamoo! lakini ukikaanao kama mwaka mmoja unaona hawapaswi hata kupewa mambo kwa vitu vya aibu anavyovifanya’ –Lucy Mayenga

Wakati wa uchaguzi kulikuwa na makundi, sasa tuachane nayo na tuijenge nchi yetu, kuna wengine wanakaa kuisema Serikali mwisho mtakosa ubunge mrudi nyumbani maisha yaaanze kuwa magumu’ –Lucy Mayenga

Full video nimekuwekea hapa chini….

VIDEO: Majibu ya Waziri Nchemba kwa wanaosema amekaa kimya Kuhusu watu kutekwa

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments