Habari za Mastaa

Huyu ndiye Mwanaume anasemekana kutoka na Lupita Nyong’o.

By

on

lupitaaLupita Nyongo kutoka Kenya tayari ameshaanza kuwa miongoni mwa mastar wa dunia na hii ni baada ya kuwa Mshindi wa tuzo za OSCAR 2014,kuna taarifa zimetoka kwenye vyombo vya habari vikimhusisha Lupita Nyong’o kutoka kimapenzi na Keinan Abdi.

470936651BD00147_86th_AnnuaKeinan Abdi Wasame K’ naan ni mwanamuziki ambaye asili yake ni Somalia inasemekana kuwa uhusiano wake na Lupita ulianza wakati Lupita alipokuwa akisema kuwa anapenda muziki wa K’naan kupitia account zake za mitandao ya kijamii.

lupitaFebruary 27 walionekana pamoja kwenye show ya K’naan iliyofanyia kwenye hotel Café pande za Los Angeles na Lupita akawa anamsaidia kupromote kazi za msanii huyo imeelezwa kuwa siku moja baada ya tuzo za Oscar wakati mapaparazi wakisubiri nyumbani kwa mwigizaji Jared wakijua labda Lupita alilala hapo usiku wake,wakapata picha Lupita akiwa na Mr.K’naan huku akiwa ameshikilia tuzo mkononi.

lupitaandknaanKuna taarifa pia inasema kuwa K’naan ana wake wawili na watoto wawili na wakati huo huo kuna zingine zinasema kuwa msanii huyo alishaachana na mkewe miaka mitatu iliyopita.

LupitaNyongoKnaanAvaDuVernay

lupi-knaan-1

Tupia Comments