Breaking News

BREAKING LIVE: COSTECH watoa kauli ishu ya TWAWEZA na barua iliyosambaa

on

Vichwa vya habari kwenye Magazeti ya leo ni kuhusu Taasisi ya TWAWEZA ambayo imekua ikifanya tafiti mbalimbali nchini Tanzania, Mtanzania limeandika TWAWEZA kikaangoni huku TanzaniaDAIMA likiandika ‘kuporomoka’ kwa JPM kwaiponza TWAWEZA, wadaiwa kufanya utafiti bila kibali, wapewa siku saba za kujieleza.

Asubuhi ya leo Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia COSTECH imeita Waandishi wa Habari na wanazungumza live, bonyeza play hapa chini kutazama

LIVE MAGAZETI: ‘Kuporomoka’ kwa JPM kwaiponza TWAWEZA, Askari amjaribu Kangi, Wabunge watoro CCM, bonyeza hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments