Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anazindua kongamano la maadhimisho ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwa Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere, katika Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere Kigamboni.