Leo March 1, 2018 Nakusogezea stori kutoka katika Shule ya Sekondari Lyamungo iliyopo wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro ambapo imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya wanafunzi zaidi ya 400 kuvamia nyumba ya Mwalimu wa zamu anayeitwa Safari Lasini katika shule hiyo kwa kumtuhumu kuwatukana wanafunzi hao
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kilimanjaro Hamisi Issah amesema viongozi wa wilaya baada yakushauriana wameona bora shule hiyo ifungwe na kusema polisi wameweka kambi katika shule hiyo hadi watakapochunguza na kubaini undani wa mgogoro huo.
SHOTI YA UMEME ILIVYOSITISHA SHUGHULI ZA MAHAKAMA KISUTU, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA