Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuber amezungumza leo June 4, 2019 “Waislamu Mwezi umeonekana maeneo mengi ya DSM, Dodoma, Arusha, Iringa, Zanzibar na sehemu nyingine Tanzania na Mimi nimethibitisha habari za kuandama kwa Mwezi huo, hivyo kesho tujiandae kuswali Eid El-Fitr na kusherehekea kwa Amani”.
MMILIKI WA SHULE YA SCHOLASTICA AKIENDA GEREZANI “DAMU YA MTOTO HAIKO MIKONONI MWANGU”