Top Stories

IMETHIBITISHWA: Kamanda “Watu zaidi ya 57 wafariki Morogoro” (+video)

on

Leo August 10, 2019 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Willbroad Mutafungwa akizungumzia ajali ya lori la mafuta kuwaka moto na kuunguza watu Mkoani humo.

“Gari lililokuwa limebeba Petrol lilipinduka, baada ya kupinduka mafuta yalimwagika watu wa eneo walijitokeza kuchota mafuta, moto ukalipuka takriban WATU ZAIDI YA 57 wamefariki” RPC Morogoro Mutafungwa

BREAKING: LORI LA MAFUTA LAWAKA MOTO, WATU ZAIDI YA 50 WADAIWA KUFARIKI

Soma na hizi

Tupia Comments