Mix

TRAILERS: Movie 7 utazikuta cinema DSM na Arusha leo April 14

on

Habari kubwa ambayo imekamata headlines kwenye mitandao mbalimbali leo April 14 2017 ni kuonyeshwa kwa mara ya kwanza movie ya The Fate of the Furious, lakini hata hivyo zipo movie nyingine sita ambazo utakutana nazo leo kwenye kumbi za Cinema.

Location ni Mlimani City – Cinema Century, Oyster Bay pamoja na Quality Center kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam na kwa wakazi wa Arusha itakuwa ni Arusha Mall.

Unaweza kutazama trailers za movie hizo hapa chini…

1: The Fate of the Furious

2: The Boss Baby

3: Smurfs The Lost Village

4: Naam Shabana

5: Beauty and the Beast

6: Collide Trailer

7: Kong Skull Island

VIDEO: Harmorapa amezungumzia lugha kwenye collabo na msanii wa nje

Soma na hizi

Tupia Comments