Habari za Mastaa

Mabibi na mabwana Jane Misso na Harmonize wameileta Remix ya ‘Omoyo’

on

Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Harmonize ambae time hii ametuletea hii remix ya Omoyo akishirikiana na Jane Misso.

Unaweza ukabonyeza play kuusikiliza kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita kusoma asome mlichokiandika.

 

Soma na hizi

Tupia Comments